Mkurugenzi wa chama cha waajiri Tanzania (ATE), Bi. Justina Lyela kifafanua namna utaratibu huo wa upimaji utakavyokuwa.
Mkurugenzi wa chama cha waajiri Tanzania (ATE), Bi. Justina Lyela alisema kuwa siku hiyo ya kupima kwa Wakurugenzi wa Makampuni na Taasisi mbali mbali utafanyika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam kuanzia saa 3 asubuhi Desemba Mosi. Pembeni ni Mwenyekiti wa chama hicho, Cornelius Kariwa.
Mkurugenzi wa chama cha waajiri Tanzania (ATE), Bi. Justina Lyela akitilia mkazo mazungumzo yake.
Toa Maoni Yako:
0 comments: