Watu
zaidi ya wawili wanahofiwa kufa katika ajali ya gari iliyotokea usiku
majira ya saa 6 katika eneo la kijiji cha Mdori Wilayani Babati Mkoani
Manyara ambapo watu wawili walionekana miili yao ikiwa imeungua na moto.
Ajali hiyo ililihusisha roli la mizigo lililokuwa limetokea Arusha na
Fuso lililokuwa limetokea Singida.
Walioteketea kwa moto inadhaniwa kuwa ni dereva na tandiboy waFuso ambao walibanwa katika gari hilo baada ya kukatika cabin.
Mafuta ya kupikia ya alizeti yalitapakaa katika eneo hilo.
Fuso ilivyoteketea kabisa na moto.
Wanawake
wa Kijiji cha Kadori wakichota mafuta yaliyomwagika katika ajali
hiyo.Lakini je mafuta haya yaliyomwagika chini ni safi na salama kwa
afya.
Toa Maoni Yako:
0 comments: