Mwakilishi wa Tigo Pamela Shelukindo akielezea umuhimu wa vibao vya mapajani wakati Tigo ilipokabidhi vibao 200 kwa shule ya msingi Kinondoni jijini Dar es salaam. Kushoto kwaake ni mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kinondoni Alice Njoka na anayefuatia ni mwalimu mkuu msaidizi Modesta Mushi.
Pamela Shelukindo mwakilishi wa Tigo akikabidhi kibao cha mkononi kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya kinondoni Alice Njoka wakati tigo ilipotoa msaada wa vibao 200 vya mapajani kwa shule hiyo.
Pamela Shelukindo mwakilishi wa Tigo akimkabidhi kibao cha mapajani mwanafunzi wa shule ya msingi Kinondoni aliyefurahia kupata kibao hicho.
Wanafunzi wa shule ya msingi Kinondoni wakifurahia vibao hivyo vilivyotolewa na Tigo shuleni hapo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: