Afisa wa habari na mahusiano Enstenim Mgimba katikati, akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam juu ya maandalizi ya onyesho la kubwa la mavazi Afrika Mashariki na kati la Swahili Fashin week ambapo Tanzania imealikwa kuonyesha ubunifu wa mavazi kupitia wabunifu mbalimbali wa mavazi katika maonyesho hayo hayo yanatarajiwa kufanyika Angola kuanzia tarehe 14-16 Oktoba mwaka huu likiwaleta pamoja wabunifu zaidi ya 40 kutoka nchi 26 Duniani, ambapo Tanzania inawakilishwa na wabunifu watatu ambao ni Manju Msita, Gabriel Mollel Na Mustafa Hassanali. Kushoto Gabriel Mollel mbunifu wa mavazi. Kulia Manju Msita mbufu wa mavazi.
Moja ya mavazi ya Gabriel Mollel.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: