Kocha wa mchezo wa ngumi Nchini Rajabu Mhamila ' Super D Boxing Coach' katikati akiwainua mikono juu mabondia Deo Njiku wa Morogoro kushoto na Jonas Segu wa Dar es salaam baada ya kupima uzito katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro leo kwa ajili ya mpambano wa kuwania ubingwa wa taifa wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO) utakaofanyika kesho jumapili.
Home
Unlabelled
jONAS SEGU DEO NJIKU WAPIMA UZITO KWA AJILI YA KUZIDUNDA JUMAPILI HII MOROGORO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: