Baba na mwana wakifuatilia carnival tokea kibarazani.
Hata wazee hawakupitwa na kitu
 Kila corner na mitaa Notting Hill ilikuwa imefurika watu.
 kila mtu alikuwa bize kuwa sehemu ya carnival.

malori yakipita mitaa huku yakipiga mziki mzito.
 mdau akiwa na vazi rasmi .
 Mish Akila Pozi na jestina Kabla ya kupiga show.
 mrembo akitoa burudani
 Msafara ukizunguka Notting hill
 Msanii pekee Mish aliye perfom kutoka Urban Pulse Akifanya makamuzi.
 mshikaji akila chambo toka ghorofani
 nguo za rangi zilirembesha carnival.
 Page Kutoka x factor aliekuja kutoa supoti kwa Mish wakati wa show
 palikuwa hapatoshi watu wa kumwaga.
 Page kutoka x factor na wadau
 parade imeanza.
 wadau wakila pozi na Jestina.
washkaji wakipata menu na nguo zao za urembo.


URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na Miss Jestina Blog wanakuletea matukio katika picha ya Notting hill Carnival iliyofanyika Jumapili tarehe 28 agosti 2011. Hii  ilikuwa siku ya kwanza  Carnival ya watoto ambayo hufanyika kila mwaka tangu mwaka 1964 ikifuatiwa kesho yake siku ya jumatatu ikiwa siku ya watu wazima.  Maelfu ya watu zaidi walijitokeza katika mitaa ya Notting hill wakati wa Carnival ya jana ambayo ni tofauti na miaka yote pia nyongezo ya polisi 1000 wa ziada na kufanya Jumla ya polisi 6500 kwa ajili ya usalama na kufanikisha shuguli nzima ya wanachi walio hudhuria. Hii inatoka na maasi yaliyo tokea hivi karibuni katika kitongoji cha Tottenham na sehemu nyingine  nchini Uingereza.  Jumla ya watu 53 wanashikiliwa na polisi kutokana kutaka kufanya fujo jana katika carnival.

Hii ni Carnival kubwa kuliko zote za mabara ya ulaya na ni ya pili kwa dunia

Msanii Kutoka Urban Pulse alifanya makamuzi katika Carnival hii iliyohudhuriwa na watu wengi, mmojawapo wa wadau waliojitokeza kumuunga mkono ni msanii Page kutoka Xfactor.

Asanteni,

URBAN PULSE CREATIVE NA MISS JESTINA BLOG
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: