Marehemu NASIB EXZAVERY maalufu kama Mkemia akiwa amechomwa moto eneo la viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge Jijini Mbeya kwa kosa la wizi wa kuku ambaye Mwenye Kuku huyo hajafahamika.
Marehemu NASIB pamoja na Kuku waliodaiwa kuwaiba na kumsababishia kifo.
Taswira inayo onesha akiwa ndani ya Tairi Hilo baada ya kuchomwa moto
Jeshi la Polisi likiwa limefika eneo la Tukio kuuchukua Mwili wa marehemu na kuupeleka katika hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya.
Toa Maoni Yako:
0 comments: