Hiki ndicho chakula kikuu kwa wapare haswa wale wa Usangi, Ugweno kwa sehemu inayozalishwa ndizi.
Kinaitwa kishumba na huwa kwa harusi za Kipare kinatumika kama keki............ni kitamu sana.
Kinaitwa kishumba na huwa kwa harusi za Kipare kinatumika kama keki............ni kitamu sana.
Toa Maoni Yako:
0 comments: