Jengo la Veta likiwa limeshakamilika kwa maonesho yatakayo zinduliwa hapo leo.
Vodacom wakimalizia jukwaa la maonyesho mbali mbali ya bidhaa zao
CRDB wakiwa wameshakamilisha banda lao kwa ajili ya maonesho ya nane nane.
Baadhi ya mabanda yakiwa yanamaliziwa kujengwa jioni ya leo kuwahi uzinduzi wa maonesho hayo leo.
Jengo la halmashauri ya jiji la Mbeya katika hatua za mwisho.
Nao akina dada hawapo nyuma kujiandaa kwa maonyesho hapo wakisukana nywele uwanjani hapo
Picha zote na- Mbeya yetu Blog.
Picha zote na- Mbeya yetu Blog.
Toa Maoni Yako:
0 comments: