Dj Jaycee ambaye ni Dj wa mwanamuziki Luda Criss kutoka nchini Atranta, Marekani akionyesha umahili wake wa kucheza na vidole katika tamasha la Serengeti Fiesta 2011 lililofanyika Lidaz Club jijini Dar es Salaam.
Dj Jaycee ambaye ni Dj wa mwanamuziki Luda Criss kutoka nchini Atranta, Marekani akiwa na Dj PQ wa radio Clouds Fm 88.4 ya jijini Dar es Salaam katika moja na mbili wakionyeshana umahili wa kucheza na vidole katika tamasha la Serengeti Fiesta 2011 lililofanyika Lidaz Club jijini Dar es Salaam.
Dj PQ akiwarusha mashabiki katika tamasha la Serengeti Fiesta 2011 lililofanyika Lidaz Club jijini Dar es Salaam.
Dj Jaycee ambaye ni Dj wa mwanamuziki Luda Criss kutoka nchini Atranta, Marekani akiwasha moto katika tamasha la Serengeti Fiesta 2011 lililofanyika Lidaz Club jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments: