Keki yenyewe ilikuwa hivi mfano wa Mixer.
Mwanadada Lady Jaydee akiweka mambo sawa.
Mc wa shughuli hiyo Gadner Habash ambaye pia ni mmoja ya wamiliki wa bendi hiyo.
Mwanadada Lady Jaydee akikata keki huku akisindikizwa na Shamim.
Wapenzi wa Machozi Bendi wakinyanyua glass juu kuonyesha upendo na furaha.


Toa Maoni Yako:
0 comments: