Wasanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka kundi la Tip Top Connection, Tunda Man (kushoto) akiwa pamoja na Dogo Janja wakimwaga shangwe kwa mashabiki waliojitokeza ndani ya ukumbi wa Club Billicanas jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tamasha la Zanzibar Film Festival (ZIFF) linalotarajiwa kufanyika mjini Zanzibar kuanzia tarahe June 18 -24, 2011 ndani ya Ngome Kongwe.Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoa kundi la Tip Top Connection Madee akiwapadozi ya burudani mashabiki waliojitokeza ndani ya ukumbi wa Club Billicanas jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tamasha la Zanzibar Film Festival (ZIFF) linalotarajiwa kufanyika mjini Zanzibar kuanzia tarahe June 18 -24, 2011 ndani ya Ngome Kongwe.Msanii wa muziki wa bongoflava Hard Mad akiwapagawisha mashabiki waliojitokeza ndani ya ukumbi wa Club Billicanas jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tamasha la Zanzibar Film Festival (ZIFF) linalotarajiwa kufanyika mjini Zanzibar kuanzia tarahe June 18 -24, 2011 ndani ya Ngome Kongwe.Mashabiki waliojitokeza ndani ya ukumbi wa Club Billicanas jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tamasha la Zanzibar Film Festival (ZIFF) linalotarajiwa kufanyika mjini Zanzibar kuanzia tarahe June 18 -24, 2011 ndani ya Ngome Kongwe.Msanii wa machachali wa hip hop Dogo Janja akiwasha moto.Msanii machachali wa muziki wa hip hop kutoka kundi la Tip Top Connection, Dogo Janja akitoa burudani kwa mashabiki waliojitokeza ndani ya ukumbi wa Club Billicanas jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tamasha la Zanzibar Film Festival (ZIFF) linalotarajiwa kufanyika mjini Zanzibar kuanzia tarahe June 18 -24, 2011 ndani ya Ngome Kongwe. Msanii wa muziki kizazi kipya Dully Sykes akiwasha moto.Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dully Sykes akiwapagawisha mashabiki waliojitokeza ndani ya ukumbi wa Club Billicanas jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tamasha la Zanzibar Film Festival (ZIFF) linalotarajiwa kufanyika mjini Zanzibar kuanzia tarahe June 18 -24, 2011 ndani ya Ngome Kongwe.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: