Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za serikali na binafsi, katikaa kilele cha sherehe za jama la wiki ya Utumishi wa Umma Duniani,ikiwemo Tanzania, katika Viwanja vya Mnazi mmoja jana huko Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wapili kulia) Waziri wa Utumishi wa Umma wa Nchini Ghana Alhassan Azang,Waziri wa Nchi Afis ya Rais Utumishi wa Umma Hawa Ghasia,Kaibu Mkuu Kiongozi Philemon Muhanjo,wakisimama wakati maandamano yakipita mbele ya jukwaa katika sherehe za juma la wiki ya Utumishi wa Umma Duniani ikiwemo Tanzania, zilizofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja Jijini Dar es Salaam.Wafanyakazi wawakilishi kutoka nchini Kenya wakiwa katika maandamano katika sherehe za juma la wiki ya Utumishi wa Umma Duniani ikiwemo Tanzania,zilizofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja Jijini Dar es Salaam.Wafanyakazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa,(TAKUKURU) wakipita mbele ya Mgeni rasmi katika sherehe za juma la wiki ya Utumishi wa Umma Duniani ikiwemo Tanzania, Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani),zilizofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja Jijini Dar es Salaam.Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati a Madini Tanzania,wakipita mbele ya Mgeni rasmi katika sherehe za juma la wiki ya Utumishi wa Umma Duniani ikiwemo Tanzania, Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani),zilizofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja Jijini Dar es Salaam.
Picha na Ramadhan Othman, Ofisi ya Rais Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments: