Hapa wakazi wa Mwanza walikuwa wamejiamwaga na mwanga akiwaka vizuri sana...Haina majotrooooooooooooooooooo ndani ya Serengeti Fiesta 2011, Mwanza! Mwanza! Mwanza!Hapa mzuka ulikuwa umempanda, akijiachia na wakazi wa Mwanza. ‘Tanzania, Are you ready??’ hapa alikuwa akiwauliza wakazi wa Mwanza! Mwanza! Mwanza!Mwanamuziki wa kimataifa wa ragga na mshindi wa tuzo za Grammy 2011, Orville Richard ‘Shaggy’ akiendelea kuwapagawisha wakazi wa jiji la Mwanza. Na kweli ikuwa ni show ya usisimua na ni historia kwa wakazi wa jiji la Mwanza kwa kupata kitu kitamua katika burudani ni imebaki gumzo kwa kila mtu akiadithia. Shukrani nyingi ziende kwa wadhamini wakuu Serengeti Breweries Ltd, Gapco, Precision Air, Prime Time Promotion na Clouds Fm na wafanyakazi wa Clouds Media Group kwa ujumla kwa kuweza kufanikisha.Mwanadada Sasha ambaye ni mmoja ya timu ya Shaggy akimpa tafu!Wakazi wa jiji la Mwanza wakijichia ndani ya Serengeti Fiesta 2011.Timu nzima wa Clouds Fm akiserebuka ndani ya Serengeti Fiesta 2011.Mtangazaji wa Clouds Fm 88.4 Adamu Mchomvu a.k.a Baba John ambaye alikuwa ni mc wa Serengeti Fiesta 2011 akiwasha moto.Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond akiwa na mastedishow wake akiwasha moto ndani ya Serengeti Fiesta 2011.Msanii wa muziki wa kizazi kipya, ambaye ni makali wa viduku akionyesha umahili wake wa kuimba na kucheza.Msanii wa hip hop, Fid Q akiwasha moto ndani ya Serengeti Fiesta 2011, CCM Kirumba jijini Mwanza.Msanii wa hip hop, Godzila nae alikuwa hot hot kwa wakazi wa Mwanza! Mwanza! Mwanza.Msanii wa hip hop, MwanaFA akiwapa dozi wakazi wa huko.Msanii wa mchanga wa hip hop kutoka pande za Mbeya, Raymond akionyesha mambo yake ndani ya Serengeti Fiesta 2011.Msanii mchanga mwanadada Recho akionyesha umahili wake wa kucheza, ndani ya CCM Kirumba jijini Mwanza.Msanii wa hip hop, Profesar J akiwasha moto ndani ya Serengeti Fiesta 2011, CCM Kirumba jijini Mwanza.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: