Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Al i Mohamed Shein, akizungumza na wumini wa Dini ya Kiislamu wa kijiji cha Tunduni na vitongoji vyake,wakati wa ufunguzi wa Msikiti katika kijiji hicho,wilaya ya Kati Unguja jana, uliojengwa kwa kwa fadhili wa Bwana Yakub Osman Sidik na Adil Yakub Sidik,ambapo ujenzi wake ulianza tarehe 11/11/2010 --18/4/2011.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya kuufungua Msikiti katika kijiji cha Tunduni, wilaya ya Kati Unguja jana, msikiti huo umejengwa kwa ufadhili wa Bwana Yakub Osman Sidik na Adil Yakub Sidik, ambapo ujenzi wake ulianza tarehe 11/11/2010--18/4/2011.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akikata utepe kama ni ishara ya kuufungua Msikiti katika kijiji cha Tunduni,wilaya ya Kati Unguja jana,msikiti huo wa kisasa umejengwa kwa ufadhili wa Bwana Yakub Osman Sidik na Adil Yakub Sidik,ambapo ujenzi wake ulianza tarehe 11/11/2010--18/4/2011.
Toa Maoni Yako:
0 comments: