Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa Amplified, Bhoke Egina, 26, ameamua kuwajibu watanzania kwa kutoa ujumbe mkali katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii (Facebook).
Bhoke, aliyetupwa nje ya shindano hilo Jumapili iliyopita, alifanya mapenzi waziwazi na aliyekuwa mshiriki wa Uganda, Ernest Wasake, 28, wakiwa kwenye shindano hilo huku wakirekodiwa na kamera za BBA.
Bhoke ameandika maneno haya "What's the big deal? People were just making a lot of noise about the whole issue as if we were having sex on the street. BBA Amplified house is for adults and whoever cannot 'suck it' up should not even be watching."
Licha ya kuandika maneno hayo alidiriki kusema kwa kinywa chake mwenyewe katika mahojiano aliyoyafanya na kipindi cha Jahazi kinachorushwa na Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam alisema kuwa hakuna kitu chochote ambacho anajutia katika yale yote ambayo ameyafanya "Sijutii chochote, i really enjoyed being in the house na yote niliyoyafanya niliyafanya kama mimi hivyo hakuna chochote ambacho naweza nikajutia..."

haya mwingreza there is no big deal to u
ReplyDeletepole yake jamni huyo anatakiwa apate mshauri kwani ameadhirika kisaikolojia datz y anajisemae tuu jamani.
ReplyDeletemalaya wewe shenzi
ReplyDeleteHivi mlimuokota wapi huyu dada mchafu wa tabia na mwenye kiu kali na ngono? Ama yuko mtaa gani Ohio nimtokee? hana adabu hata kidogo. Kwanza hata kungonoka hajui maana alikuwa katulia kama mfuniko wa chamber ya barabarani
ReplyDeletedada chunga huo mdomo ohoooo utakuponza
ReplyDelete