Mshiriki wa Big Brother Africa Amplified Bhoke Egina akifafanua jambo katika mahojiano aliyoyafanya katiki kipindi cha Jahazi kinachoendeshwa na redio Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam.Wasiwasi Mwabulambo ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kinachoendeshwa na redio Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam akiwa na Mshiriki wa Big Brother Amplified Bhoke Egina.Arnold Kayanda, mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kinachoendeshwa na redio Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam akiwa na Meneja Mahusiano wa Kampuni ya MultChoice Tanzania, Barbara Kambogi ndani ya kipindi cha Jahazi cha Clouds Fm alipokuwa na mshiriki wa BBA Amplified.

Katika mahojiano aliyafanya na ipindi hicho cha Jahazi mwanadada huyo alisema kuwa hakuna kitu chochote ambacho anajutia katika yale yote ambayo ameyafanya "Sijutii chochote, i really enjoyed being in the house na yote niliyoyafanya niliyafanya kama mimi hivyo hakuna chochote ambacho naweza nikajutia..."

Mshiriki huyo wa BBA Amplified aliongeza kuwa hajutii kitu chochote kwa yale ambayo ameyafanya kule kwenye jumba na yupo tayari kubeba msalaba ama lawama zozote ambazo atatupiwa.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

2 comments:

  1. tubu kwa mungu wako coz watu wanafanya hivyo vitu lkn kwa siri ambayo inakuwa haina ushahidi sasa wewe bibie umeweka wazi kila k2 usifikirie kwa leo angalia na kesho

    ReplyDelete
  2. u need serious therapy bhoke..its not normal..we do sex yes bt not infront of the camera..its only porn stars who do that kheeeeeeeeeeee.

    ReplyDelete