Kundi la Underzone kutoa jijini Dar es Salaam limeweza kunyaua taji katika shindano la Serengeti Dance la Fiesta lililofanyia Maisha Club jijini Dar es Salaam anbapo ameyabwaga chini makundi mawili la Kontejazz kutoka jiji Arusha pamoja na MYUT kutoka mji kasoro Bahari. Kundi hilo liliweza kupokea hundi ya shilingi milioni moja pamoja na zawadi kibao.Majaji wa shindano hilo la B-12 ambaye ni mtangazaji wa Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam akiwa na muandaaji wa kipindi cha ‘Step Up Player’ Isakwisa Thomson wakijaribu kumnyamazisha Msami kutoka T.H.T ambaye alianza kulia kabla ya kutangaza matokeo jambo ambalo lilionyesha ni jinsi gani asivyopenda watu washinde kufanya vyema.Timu nzima ya Clouds Medi Group nayo iliweza kuwakilisha ndani ya Maisha Club.Mashabiki wakishangilia kwa shangwe.Adamu Mchomvu ambaye ni mtangazaji wa Clouds Fm na pia ni msanii wa bongflava anayetamba na nyimbo yake ya John! John! akiwasha moto ndani ya Maisha Club ambapo alisindikiza fainali ya shindano la Serengeti Dance la Fiesta 2011.Dj Choka kwenye moja na mbili huku akimsindikiza Adamu Mchomvu wakati akiwasha moto.Majaji wa shindano hilo la B-12 ambaye ni mtangazaji wa Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam akiwa na muandaaji wa kipindi cha ‘Step Up Player’ Isakwisa Thomson wakijaribu kuweka mambo sana pamoja na Msami kutoka T.H.T.Kundi la Kontejazz kutoka jijini Arusha likionyesha umahili wao wa kucheza.Ilikuwa ni raha isiyo na kifani kwani vijana walionyesha umahili wao wa kucheza.Mc wa shindano hilo Babuu wa Kitaa ambaye ni mtangazaji wa Clouds Tv akiongea na wanaikundi cha Underzone baada ya kumaliza kuonyesha umahili wao.
UB-40 kutoka Zanzibar nao hawakuwa nyuma kuwasha moto.Mashabiki waliojikeza katika fainali ya shindano la Serengeti Dance la Fiesta 2011.Hakika ilikuwa ni vuta nikuvute maana kila kundi lilionyesha umahili wa ucheza na muonekano wa mavazi pia.
UB-40 kutoka Zanzibar nao hawakuwa nyuma kuwasha moto.
UB-40 kutoka Zanzibar nao hawakuwa nyuma kuwasha moto.Mashabiki waliojikeza katika fainali ya shindano la Serengeti Dance la Fiesta 2011.Hakika ilikuwa ni vuta nikuvute maana kila kundi lilionyesha umahili wa ucheza na muonekano wa mavazi pia.
UB-40 kutoka Zanzibar nao hawakuwa nyuma kuwasha moto.
Toa Maoni Yako:
0 comments: