Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume, akimkaidhi Cheti Ushindi wa Somo la Kiarabu kwa Tanzania,kidato cha 6, Mwalimu wa Skuli ya High View, Nadhir Ali, katika Kilele cha Sherehe za Elimu bila malipo zilizofanyika huko viwanja vya Skuli ya Vikunguni, Wilaya ya Chake chake, Mkoa wa Kusini, Pemba.
Wanafunzi wa Skuli ya Vikunguni, Wilaya ya Chake chake,Mkoa wa Kusini,Pemba wakifuatilia kwa makini harakati za Sherehe za Elimu bila malipo zilizofanyika huko viwanja vya Skuli hiyo wakinyanyua mikono yao kuomba dua iliyoombwa kuwatakia mafanikio wanafunzi na walimu ,katika sherhe hizo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, akimkaidhi kikombe Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Hamamni cha Ushindi wa jumla Kidato cha 6, Mshenga Ali Abass, katika Kilele cha Sherehe za Elimu bila malipo zilizofanyika huko viwanja vya Skuli ya Vikunguni, Wilaya ya Chake chake, Mkoa wa Kusini, Pemba. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Haroun Ali Suleiman, alipowasili katika Kilele cha Sherehe za Elimu bila malipo zilizofanyika huko viwanja vya Skuli ya Vikunguni, Wilaya ya Chake chake, Mkoa wa Kusini, Pemba.
Baadhi ya Walimu na Wanafunzi wa Skuli za Mikoa 5 ya Unguja na Pemba,wakiwa katika Kilele cha Sherehe za Elimu bila malipo zilizofanyika huko viwanja vya Skuli ya Vikunguni,Wilaya ya Chake chake,Mkoa wa Kusini, Pemba.

Mawaziri na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika Kilele cha sherehe za Elimu bila malipo zilizofanyika huko viwanja vya Skuli ya Vikunguni,Wilaya ya Chake chake,mkoa wa Kusini Pemba, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,alipozungumza katika Sherehe hizo.
Baadhi ya wanafunzi (bora) waliofaulu vizuri katika masomo yao wakiwa na vyeti vyao walivyozawadiwa, katika Kilele cha Sherehe za Elimu bila malipo zilizofanyika huko viwanja vya Skuli ya Vikunguni, Wilaya ya Chake chake, Mkoa wa Kusini, Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, akimkabidhi kikombe Mwalimu Khamis Juma Ali, Skuli bora Kidato cha 2 katika Kilele cha Sherehe za Elimu bila malipo zilizofanyika huko viwanja vya Skuli ya Vikunguni, Wilaya ya Chake chake, Mkoa wa Kusini, Pemba. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume, akimkabidhi kikombe Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba, Hassan Tawakal Khairalwa, Skuli yake imekuwa mshindi, kidato cha 4, katika Kilele cha Sherehe za Elimu bila malipo zilizofanyika huko viwanja vya Skuli ya Vikunguni, Wilaya ya Chake chake, Mkoa wa Kusini, Pemba.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume, akizungumza na Walimu, wananchi na wanafunzi katika Sherehe za Elimu bila Malipo zilizofanyika huko viwanja vya Skuli ya Vikunguni, Wilaya ya Chake chake, Mkoa wa Kusini, Pemba.
Toa Maoni Yako:
0 comments: