Nyota wa Pop na R&B toka pande za USA, Aliaune Badara Akon Thiam a.k.a Akon, ni mmoja wa staa barani Afrika watakaopiga shoo wakati wa ufunguzi wa michuano ya soka ya Kombe la Dunia huko Bondeni mapema mwakani.
Safu hii kupitia chanzo chake makini toka pande za Cape Town inakuwa ya kwanza kuripoti kuwa, mwanamuziki huyo, raia wa Senegal amepata ofa hiyo kutokana na kuwa balozi mzuri wa bara la Afrika kimuziki na ataungana na nyota wengine maarufu wa nchini humo.
Toa Maoni Yako:
0 comments: