Msanii nguli wa mashairi Mrisho Mpoto ambaye ni maarufu kwa jina la 'Mjomba' ameanzisha bendi itayoitwa jina hilo hilo - Mjomba music band. Ameiambia Habari na matukio kwamba ana vijana 10 wa jinsia mbalimbali wanaounda kundi hilo lenye vionjo vyote vya muziki.

Mjomba music band katika picha ya pamoja
kwa mawasiliano na kundi hili piga namba
+255 754 987 838
au
+255 712 056 748
ama
mmpoto@yahoo.com
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: