Mkurugenzi mtendaji wa Benchmark Production Madame Ritah Paulsen(kushoto) na Mkuu wa Udhamini na Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania George Rwehumbiza(kulia)akiongea na wanahabari wakati walipotangaza kumi bora ya washiriki wa Bongo Star Search 2009.Vodacom Tanzania ni wadhamini wakuu wa shindano hilo.

Washiriki wa Bongo Star Search 2009 wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Udhamini na Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania George Rwehumbiza pamoja na Mkurugenzi mtendaji wa Benchmark Production Ritah Paulsen ambae ni muandaaji wa shindano hilo yakidhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: