Daraja la Ubungo External kama unaelekea soko jipya. Daraja hili liko katika hali mbaya ambapo serikali inatakiwa kuweka nguvu zake katika kulijenga ili kuokoa maisha ya wananchi wanaishi katika eneo hili.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: