Ndugu, Jamaa na Marafiki,Tunapenda kuwakaribisha kwenye semina ya neno la Mungu itakayohudumiwa na watumishi wa Mungu CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE toka Tanzania.

Semina hii ya kipekee na yenye ujumbe maalum kwa kila mtu itafanyika Dallas,Texas USA September 12 hadi 14 2008.Mungu amekuwa akiwatumia hawa watumishi ndani na nje ya nchi kwa Upako na wengi wamefunguliwa,kuponywa na kutiwa moyo kupitia huduma hii.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: