Licha ya Serikali kupiga vita shughuli za ombaomba lakini washakaji hao hawasikii wala hawaambiwi kama Habari na Matukio ilivyomnasa babu huyu akiwa ametega katika kizuizi cha kutokea magari katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: