Polisi wavamia Mwanahalisi - Upekuzi Unaendelea!
Taarifa zilizonifikia hivi punde ni kuwa gazeti la mwanahalisi limevamiwa muda huu na polisi huku wanaendelea na upekuzi ila hatujui wanataka nini .Waliwakuta ofisini ndugu Kubenea Said na Ndimara Tegambwagwe pamoja na mlizi ndugu Mayunga.nitawapa news zaidi.

Toa Maoni Yako:
0 comments: