Waimbaji wa nyimbo za injili Christina Shusho akiimba wimbo wake wa unikumbuke huku akiwa amewabeba watoto yatima wa kituo cha Irapayano'ngera Organization katika tamasha la kuchangia watoto yatima wanaoishi kwa matumaini nawazee wanaoishi kwenye mazingira magumu wa kituo hicho iliyofanyika katika hoteli ya Gorden Rose, Arusha wiki iliyopita.
Mwimbaji wa nyimbo za injili, Frola Mbasha akiimba pamoja na watoto yatima wa kituo cha Irapayano'ngera Organization ambalo ni shirika la dini linalohudumia watoto yatima mkoani Arusha. Hii ilikuwa ni katika tamsaha la kuchangia watoto hao na wazee wasiojiweza wanaolelewa na kituo hicho iliyofanyika katika hoteli ya Gorden Rose, Arusha.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: