Upande wa Sarakasi nao hawakuwa nyuma kuupamba usiku wa 50 Cent.
Nadhani watu wengi watakuwa wanamkumbuka kijana huyu aliyetambulika kwa jina la Bogojo ambaye alitamba kipindi kile cha Mr.Nice wakati ameingia kwenye muziki akiwa anatamba na kibao chake cha mama ninakupenda sana. Kijana huyu ambaye alikuwa ni mmoja ya wacheza show wake pamoja na kuonyesha vituko lakini kwa sasa amechukuliwa na kundi la Mama AFRIKA na amekuwa akifanya vitu vyake huko mashariki ya mbali kama unavyomuona. Hapa ilikuwa ni katika kuupamba usiku wa 50 Cent ndani ya Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: