Natafuta Wachezaji Kuja Kucheza Europe
Natafuta wachezaji kutoka afrika hasa watanzania kuja kujaribu soka hapa. Uwezekano wa kupata timu ni mkubwa kama yeye ni mchezaji maana atajaribiwa ktk timu nyingi na za daraja tofauti. Asiwe na umri unaozidi miaka 23.
Awe na uwezo wa kujigharamia Ticket Maradhi na chakula akiwa hapa yatafanywa na kampuni. Mwariko atatumiwa na kampuni wa kuja kujaribu soka hapa Kwa vile tz haiifahamiki kisoka tutahitaji wachezaji wa mwanzo wawe wanasakata kabumbu kisawasawa ili wapeperushe jina . pia unaweza tembelea ktk web yetu . www.nowakconsulting.pl Nitwangie sms +48697461457 andika jina lako na klabu unayocheza mimi nitakutwangia simu moja kwa moja. Ama nitwangie Email mkamap@yahoo.com ama uni PM ukibainisha namba yako ya simu. ustaraabu Nimatumaini yangu hatuta ABUSE mawasiiano .Na ni mategeo yangu ujumbe tutawafikishia wahusika . Otherwise ON PEACE !!!! C U then.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: