Kifaa tulichotua nacho mjini Zanzibar leo jioni; hapo naoneka kwa mbali.
Washikaji wakiwa wamepozi katika boti ya Seagull
Vifaa vimetia nangaBoti za Zanzibar zikiwa zimetia nanga Dar.Vifaa vya kazi vyenyeweHapa ni upande wa pili Kigamboni
Watalii wanapapenda sana maana huku hali ya hewa ni nzuri sana
Leo ndugu yangu nimetembelea mjini Zanzibar chini ya udhamini wa TIGO kwa ajili ya TIGO MUSIC AWARD-2008 linalofanyika leo usiku katika ukumbi wa Bwawani.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: