Meneja Msaidizi wa Zenj Fm ambao ndiyo waratibu wa tamasha la utoaji tuzo kwa wanamuziki wa Zanzibar akizungumza mbele ya waandishi wa Habari leo Asubuhi pia moja ya wadhamini ni Tigo.

Meneja Msaidizi wa Zenj Fm ambao ndiyo waratibu wa tamasha la utoaji tuzo kwa wanamuziki wa Zanzibar, Ramadhani Tuwa akipokea hundi yenye thamani ya shilingi milioni mbili kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha Matangazo ya gazeti la Habari Leo na Daily News Bw. Felix Mushi, ambao pia ni wadhamini wa tamasha hilo.
Waandaji pamoja na wadhamini wa tuzo za muziki za Tigo Zanzibar Muzic Awards,Zanzibar Media Corporation inayomiliki kituo cha redio cha Zenj Fm na gazeti la Asumini wakizungumza na waandishi wa habari leo asubuhi jijini Dar kuhusiana na tamasha hilo la utoaji tuzo litakalofanyika ijumaa hii ndani ya Bwawani hotel ambapo mgeni rasmi atakuwa mke wa rais Mama Salma Kikwete.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: