Bi. Angel Rwezaura wa Arusha akivishwa pende ya uchumba na Bw. Maximililan Muya pia wa Arusha wakati wa hafla iliyofanyika nyumbani kwa mjomba wake Tito Kasere kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, wachumba hao wanategemea kufunga ndoa yao Takatifu hivi karibuni mkoani Arusha.
Bwana harusi mtarajiwa Maximillian Muya akibusu pete ya uchumba
kwenye kidole cha mchumbawake Angel Rwezaura, baada ya kumvisha pete.
Mshenga wa upande wa Bwana harusi mtarajiwa Maximillian Muya ...
akiwakilisha fedha za mahari kwa familia na Bi. Angel Rwezaura kabla ya
kufanyika hafla ya kuvishwa pete ya uchumba.
Shangazi wa Angel Rwakazaura, Mama Tito Kasere (kulia) akikabidhiwa
vitenge na mzazi wa Maximillian Muya, Mama Muya.
Bi. Angel Rwezaura na mchumba wake Maximililan Muya wakiwa katika
picha ya pamoja na wazazi wa Maximillian.
Bi. Angel Rwezaura pamoja na mchumba wake Maximillian Muya wakiwa
katika picha ya pamoja na Wazazi wa Angel.
Bi. Angel akiingizwa ukubini wakati wa hafla ya kuvishwa pete na Maximillian Muya.


Toa Maoni Yako:
0 comments: