Roma Mkatoliki akiwapa mashabiki burudani tosho kwenye tamasha la Tigo Fiesta 2016 uwanja wa Umoja Nangwanda mkoani Mtwara.
Msanii Manfongo akitoa burudani kwenye tamasha la Tigo Fiesta 2016 lililofanyika uwanja wa Umoja Nangwanda Mtwara jana.
Jay Moe akiwaburudisha wakazi wa Mtwara katika tamasha la Tigo Fiesta 2016.
Joh MAKINI Akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016 usiku wa jana mjini Mtwara.
Weusi wakilivamia katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016.
Msanii toka Mtwara aliyepatikana katika shindano la Super Nyota akitumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta 2016.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: