Meneja huduma kwa wateja kanda ya Pwani, Isaack Shoo akitoa maelezo kuhusu simu zinazouzwa katika duka jipya la Handeni kwa mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya Handeni Mhe. Halima Rajab Msangi anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles uzinduzi huo umefanyika mapema wiki wilayani Handeni mkoani Tanga.
Mkuu wa willaya ya Handeni Mhe. Halima Rajab Msangi akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles na wafanyakazi wa Tigo wa duka la Handeni mara baada ya uzinduzi uliofanyika mapema ya wiki wilayani Handeni mkoani Tanga.


Toa Maoni Yako:
0 comments: