Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donald Mmbando akizungumza na wanasayansi wa magonjwa ya binadamu wakati wa hafla ya kufunga kongamano la 29 la Kisayansi lililoandaliwa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu ili kuwasilisha na kujadili matokeo ya tafiti za tiba katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi. (Na Mpiga Picha Wetu).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: