Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akiwa amepozi
  Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9)  akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia)
 Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9)  akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji
cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya
Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia)
Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia), jinsi inavyo daiwa  alivyoozeshwa kwa mwanaume mwenye miaka 60 (jina limehifadhiwa) kwa mahari ya Ng'ombe Mmoja na debe 2 za pombe kushoto ni Mwenyekiti wa Wasaidizi wa Kisheria Wilaya ya Monduli Mtandao wa Wasaidizi wa Kisheria Monduli (MWAWAKIMO) Ibrahim Melita Laizer (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: