Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Regina Kikuli akiongozana na
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia
Jenerali, Mbazi Msuya wakati wa kufuatilia Utekelezaji wa Mradi wa
kupunguza Athari za Maafa ya Ukame kijijini Masanga , wilayani Kishapu
Shinyanga, tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya
Dunia kupitia UNICEF.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Regina Kikuli (wa kwanza
kushoto) akiwaangalia baadhi ya mbuzi wa vikundi vya kata ya Masanga
waliowapata kutoka Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia
Mradi wa kupunguza Athari za Maafa ya Ukame wilayani Kishapu Shinyanga,
tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Dunia kupitia
UNICEF. Kulia kwake ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi hiyo,
Brigedia Jenerali, Mbazi Msuya.
Baadhi ya wanakikundi cha Mkombozi kata ya Masanga wilayani Kishapu
Shinyanga, wakiwa na mbuzi waliowapata kutoka Idara ya Uratibu Maafa
Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Mradi wa kupunguza Athari za Maafa ya
Ukame tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Dunia
kupitia UNICEF.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Regina Kikuli (wa kwanza kushoto) akimsikiliza mwanakikundi cha Mkombozi kata ya Masanga wilayani Kishapu Shinyanga wakati akieleza manufaa ya ufugaji wa mbuzi waliowapata kutoka Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia Mradi wa kupunguza Athari za Maafa ya Ukame wilayani Kishapu Shinyanga, tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Dunia kupitia UNICEF. Kulia kwake ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi hiyo, Brigedia Jenerali, Mbazi Msuya.


Toa Maoni Yako:
0 comments: