Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro, Severin Kahitwa akisisitiza jambo wakati wa mafunzo ya Menejmenti ya maafa kwa waratibu maafa mkoani humo yanayoendelea wilayani Hai, mafunzo hayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Uratibu maafa kwa Ufadhili wa UNICEF kupitia mradi wa kuijengea jamii uwezo wa kukabili maafa yatokanayo na ukame.
 Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Menejmenti ya maafa yatokanayo na ukame kutoka katika Halmashauri za wilaya ya Same, Hai na Mwanga mkoani Kilimanjaro wakifuatilia mafunzo hayo yanayoendelea wilayani Hai, kwa kuratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Uratibu maafa kwa Ufadhili wa UNICEF kupitia mradi wa kuijengea jamii uwezo wa kukabili maafa yatokanayo na ukame.
Mkurugenzi Idara ya Uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali Mbazi Msuya akiongea na waandishi wa habari wa mkoani Kilimanjaro juu ya umuhimu wa mafunzo ya Menejimenti ya maafa ya ukame kwa waratibu maafa katika Halmashauri za wilaya ya Same, Hai naMwanga wakati wa mafunzo yanayoendelea kuratibiwa na Ofisi hiyo wilayani Hai kwa Ufadhili wa UNICEF kupitia mradi wa kuijengea jamii
uwezo wa kukabili maafa yatokanayo na ukame.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: