Meneja huduma kwa wateja Tigo Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe
akikabidhi zawadi za sikukuu ya Eid kwa Msemaji mkuu wa msikiti wa Taqwa
Singida Mjini, Sheikh Saad Mhando kabla ya kupata futari iliyoandaliwa
na Kampuni ya Tigo mkoani humo.
Meneja huduma kwa wateja Tigo Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe
akiwa pamoja na Masheikh na watoto wa Msikiti wa Taqwa mjini Singida
kwenye dua ya pamoja.
Wahuduma wa chakula wakitoa huduma.
Waalikwa wakipata futari.


Toa Maoni Yako:
0 comments: