Familia ya marehemu Joash Chisongela inatangaza kifo cha mtoto wao Martin Chisongela kilichotokea jana jioni Mtoni Kijichi jijini Dar es Salaam. Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki popote walipo. Mazishi yatafanyika kesho Machi 16, 2015 majira ya saa10 jioni katika Makaburi ya Wailes, itatanguliwa na misaa na heshima za mwisho saa 8 alasiri Kanisa Anglican Temeke Sudan.
Rambirambi 0713213189/0754213189 Ford Chisongela
Kajunason Blog inawapa pole wafiwa wote... Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina.



Toa Maoni Yako:
0 comments: