Wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Tobacco Lifes Company TLTC na Tanzania Tobacco Procesing Company TTPL wakishindana kunywa soda na kula mkate wakati wa bonanza la siku ya familia iliyofanyika Morogoro.
Wafanyakazi wa kike wa kampuni ya Tanzania Tobacco Lifes Company TLTC na Tanzania Tobacco Procesing Company TTPL wakishindana kuvuta kamba wakati wa bonanza la siku ya familia iliyofanyika wiki iliyopita katika viwanja vya Magadu
 Wafanyakazi  wa kampuni ya Tanzania Lefes Tobacco Company TLTC na Tanzania Tobacco Procesing Company TTPL wakishindana kukuna nazi wakazi wa bananza la siku ya familia ya kampmuni hizo yaliyofanyika wiki iliyopita katika viwanja vya magadu Manispaa ya Morogoro.  Manispaa ya Morogoro.
Mkurugenzi wa sheria na mahusiano wa kampuni hizo Richard Sinamtwa akiwasalimia watoto wa wafanyakazi wakati wa bonanza la siku ya familia lililofanyika mwishoni mwa wiki hii katika viwanja vya magadu manispaa ya Morogoro. Picha na Hamida Shariff, Morogoro.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: