
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji wanafamilia bada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik, Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mama Evelyne Warioba alipokwenda hunai msiba wa mama yake mzazi Marehemu Hedwig Laurent Ojjik Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
PICHA NA IKULU.



No comments:
Post a Comment