Pages

Saturday, 17 May 2014

MWILI WA MSANII ADAMU KUAMBIANA UKITOLEWA HOSPITALI YA MAMA NGOMA, MWENGE DAR


Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukitolewa nje ya Hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kupelekwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuhifadhiwa leo mchana huu.
...Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwekwa kwenye gari tayari kupelekwa Muhimbili…

No comments:

Post a Comment