Pages

Wednesday, 21 May 2014

MAREHEMU ADAM KUAMBIANA APUMZISHWA KWA AMANI KATIKA MAKABURI YA KINONDONI, DAR

Mwili wa Marehemu Adamu Kuambiana ukisindikizwa na wasanii wa Filamu kuupeleka makaburini tayari kuwekwa katika nyumba yake ya milele katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Waombolezaji wakiwa makaburini.
Mwili ukiwasili katika makaburi ya Kinondoni tayari kwa maziko.

No comments:

Post a Comment