Pages

Wednesday, 21 May 2014

HATIMAYE JIJI LA MBEYA LAFANIKIWA KUMKAMATA CHATU ALIYEKUWA ANATISHIA AMANI

Mtaalamu wa Kukamata Nyoka.
Wananchi wa Mbeya walijitokeza kwenye Ofisi za Jiji la Mbeya kushuhudia

Hali hiyo ikapelekea Kujitokeza kwa  Vijana hawa wawili kutokea Bagamoyo na Tanga kwaajili ya kumkamata Chatuhuyo.... Hatimaye wamemkamata Chatu Mtoto amekamatwa huku Juhudi
zikiendelea Kuhakiki kama kuna Chatu wengineo.... Tazama Video Hii

No comments:

Post a Comment