Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharibu Bilal akizungumza na Mkurugenzi wa Kanda ya Ziwa kutoka Tigo Bw.Ally Maswanya jana wakati wa mkutano wa uwekezaji kanda ya ziwa unaoendelea jijini Mwanza. Tigo ni mdhamini mkuu wa mkutano huo.
Meneja wa Uendeshaji Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Tigo Bw.Eliud Rugemalira akikata utepe kuzindua tawi jipya la Tigo mkoani Mbeya jana, wanaoshuhudia kulia kwake ni Mtaalamu wa Mahusiano ya Wateja Bi.Pilila Kavishe na kushoto kwake Msimamizi wa Tawi hilo Bw. Abraham Juma.




Toa Maoni Yako:
0 comments: