Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mh Benjamin Mkapa akisalimiana na waziri mkuu mstaafu an mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Mzee Patrick Qorro Ada estate jijini Dar es salaam leo.
...akisalimiana na Profesa wa Chuo Kikuu DSM, Issa Shivji
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akimsikiliza mwenyekiti wa taasisi ya mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro jijini dsm leo hii.
Picha: Na Mpiga Picha wetu
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: