Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Jakaya Kikwete, akifungua rasmi Kikao
cha Kamati Kuu ya CCM, kilichoanza jioni hii kwenye Ukumbi wa CCM Makao Makuu mjini Dodoma.
Mjumbe wa Kamati Kuu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na mjumbe
mwenzake Edward Lowassa, wakati alipokuwa akiingia kwenye Ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo, Feb 15, 2014 kwa ajili ya kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Balozi Ali Mchumo (kushoto) Bernad Membe
(kulia) na Adam Malima, wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa kikao hicho.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao hicho.
Wajumbe wa CCM waliohudhuria kikao hicho.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: