Katika pita pita za Kajunason Nlog ndani ya instagram ilikutana na ukurasa wa kaka mtanashati ambaye kwa sasa ni sukari ya warembo Nasibu Abdul almaarufu kama Diamond akiwa na mwanadada Wema katika pozi la mahabati.... Cha kujiuliza nia na madhumuni ya kuweka picha hii ni kuionyesha jamii kuwa amerudiana na mwanadada huyu ama????Sijaelewa lolote....
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: