Pages

Sunday, 6 October 2013

MSANII 20 PERCENT AFIWA NA BABA YAKE, MAZISHI NI KESHO JUMATATUKIMANZICHANA, DAR SAA 7 MCHANA


Taarifa tulizozipata jioni ya leo toka kwenye ukurasa wa facebook wa Afande Sele The'King zimasema;  taarifa za kusikitisha nilizozipata jioni hii nikiwa hapa Dar es Salaam ni kwamba mzee wetu Khamis Kinzasa ambae ni baba mzazi wa ndg yetu Abass Khamis Kinzasa maarufu kama 20 Percent amefariki dunia leo mchana, mazishi yatafanyika kesho nyumbani kwake Kimanzichana saa saba mchana, poleni nyoote wanandugu, pole mdogo wangu asilimia, pole familia yote ya mzee Kinzasa mke, watoto na wajukuu, Mungu amlaze pema mzazi wetu, sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na sisi sote tutarejea kwake siku moja.

No comments:

Post a Comment